Skip to main content
Skip to main content

Heche:Hakukuwa na mazungumzo yeyote kuhusu kuachiwa kwao

  • | BBC Swahili
    43,493 views
    Duration: 48s
    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema hakuna mazungumzo yoyote yaliyofanyika kuhusu kuachiwa kwake kwa dhamana pamoja na viongozi wengine wa chama hicho hapo jana. Aidha, ametoa wito kwa mamlaka husika kuwaachia huru wale wote waliokamatwa bila kosa lolote, na pia kuwaruhusu wale wanaotafuta miili ya ndugu zao waliopoteza maisha kuipata ili waweze kuizika kwa mujibu wa mila na desturi za Kiafrika. - - #bbcswahili #maandamano #tanzania #uhaini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw