Skip to main content
Skip to main content

Wanaume 6 Busia wakamatwa kwa biashara ya dawa ghushi kutoka Uganda

  • | TV 47
    134 views
    Duration: 2:14
    Wanaume sita wamekamatwa mjini Busia. Walihusishwa na biashara ya dawa ghushi kutoka Uganda. Dawa zenye thamani ya zaidi ya shilingi laki mbili zasambazwa sokoni. Afisa wa PCPB atahadharisha wananchi dhidi ya madalali wasio na leseni. PCPB yaahidi kuendeleza kampeni za elimu na misako mipakani. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __