Skip to main content
Skip to main content

Hatari ya kuwa shabiki kindakindaki wa soka

  • | BBC Swahili
    6,672 views
    Duration: 1:52
    Utafiti unaeleza kuwa Mashabiki kindakindaki wa mpira wa miguu wanaweza kujiweka hatarini kwa kupata mshtuko wa moyo, msongo wa mawazo na hata kuongeza maradhi ya shinikizo la damu na kusimama kwa mapigo ya moyo wakati timu zao zinapocheza. Je hali hii hutokea vipi? Mariam Mjahid anaelezea kwa kina #bbcswahili #soka #kandanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw