- 18,285 viewsDuration: 6:31Mvutano mkali kati ya MCA Wa Kileleshwa, Robert Alai, na Mbunge wa Suba North, Millie Odhiambo, umefichua mpasuko wa ndani ya chama ambacho kinaonekana kuhangaika kusimama baada ya kifo cha mwanzilishi wake, hayati Raila Odinga. Kile kilichoanza kama ukosoaji dhidi ya Mbunge Wa Bunge La Afrika Mashariki, Winnie Odinga, sasa kimegeuka na kuwa mjadala mkali kuhusu urithi wa uongozi, utambulisho wa chama, na heshima kwa viongozi wanawake. __ Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __