"Pesa nyingi zimeingia katika Kaunti ya Nairobi, ikiwemo mikopo kutoka IMF, ambazo zingesaidia kuibadilisha jiji hili kuwa la viwango vya kimataifa. Hata hivyo, haijulikani wazi fedha hizo zinavyotumika. Wajumbe wa Bunge la Kaunti (MCAs) sasa wanataka kumng’oa Gavana Sakaja wakidai kuwa fedha za kaunti hazitumiki ipasavyo, ilhali wao wanajua jinsi fedha hizo zinavyosambazwa."- Innocent Paluget, Mtaalamu wa Maendeleo na Uongozi
#TV47Matukio
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'
*About TV47*
'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__
Connect with us:
Website: https://www.tv47.digital/
Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE
Twitter: https://twitter.com/tv47news
Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/
TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke
Telegram: https://t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__