Skip to main content
Skip to main content

Israel yaanzisha mashambulizi ya ardhini Gaza

  • | BBC Swahili
    12,630 views
    Duration: 28:10
    Israel imeanza kutekeleza operesheni yake kuu ya kuteka na kudhibiti mji wa Gaza kwa kuanzisha operesheni yake ya ardhini. Wakaazi wa mji huo wameelezea kushuhudia usiku uliojawa na mashambulizi makubwa ya mabomu. Hospitali mjini Gaza zinasema kwamba takriban watu 43 wameuawa. Maelfu ya watu wamekimbilia eneo la katikati mwa ukanda wa Gaza. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw