Skip to main content
Skip to main content

Je, Waziri Mkuu mpya Mwigulu Nchemba ndiye dawa ya Tanzania? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    41,395 views
    Duration: 28:10
    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Mwigulu Nchemba, kuwa Waziri Mkuu wa taifa hilo kufutia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Mwigulu ni mchumi, kada wa muda mrefu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akimrithi Kassim Majaliwa anayemaliza muda wake. Mwanasiasa huyo wa muda mrefu, alikuwa Waziri wa Fedha katika serikali ya awali. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw