Rais William Ruto amethibitisha kujitolea kwake kuiongoza Kenya kufikia hadhi ya mataifa yaliyostawi kupitia miradi mikubwa ya maendeleo. Akizungumza katika Kaunti ya Makueni wakati wa uzinduzi wa miradi muhimu katika jiji la kiteknolojia la Konza, Rais alisema kuwa Kenya imekuwa nchi inayoendelea kwa muda mrefu mno, na serikali imeazimia kubadilisha hali hiyo kupitia umoja na kazi kwa bidii.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive