Skip to main content
Skip to main content

Umoja wa Afrika (AU) wasema uchaguzi wa Tanzania haukuwa huru na wa haki, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    66,980 views
    Duration: 28:10
    Ripoti ya waangalizi wa Umoja wa Afrika imesema kwamba uchaguzi wa Tanzania haukukidhi kanuni na mifumo ya Umoja wa Afrika na kimataifa kuhusu uchaguzi wa kidemokrasia. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw