Wataalamu wa afya humu nchini wanatoa wito wa ushirikiano wa karibu zaidi kati ya wadau wa sekta za matibabu, tiba ya mifugo na mazingira ili kuzuia kuzuka kwa magonjwa yanayohatarisha maisha ya binadamu na wanyama. Kwenye kikao na wanahabari jijini Nairobi kabla ya kongamano la afya la Kenya One Health la mwaka huu, wadau hao walisisitiza kuwa mbinu ya pamoja ndiyo ufunguo wa jamii yenye afya bora.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive