Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini kiongozi upinzani Tanzania John Heche anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi?

  • | BBC Swahili
    111,316 views
    Duration: 12:15
    Naibu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, John Heche, ambaye alikamatwa siku 14 zilizopita leo alisafirishwa kutoka Dodoma hadi mji mkuu wa Dar es Salaam, ambako amehojiwa na maafisa wa polisi kuhusiana na tuhuma kadhaa. Wakili wa Heche, Hekima Mwasipu, ameiambia BBC kuwa Heche anazuiliwa katika kituo kimoja cha polisi baada ya kufahamishwa kuwa anakabiliwa na mashtaka mawili ya ugaidi. #DiraYaDuniaTV