Skip to main content
Skip to main content

Safari ya Raila Odinga ya Kisiasa

  • | KBC Video
    583 views
    Duration: 4:24
    Ni wanasiasa wachache mno wameshiriki kwenye safari ya kisiasa ya taifa hili jinsi Raila Amolo Odinga alivyokuwa. Mwanamume wa haiba kubwa, mjasiri na mwenye ukakamavu, aliyejulikana na wengi kama Baba. Baba wa demokrasia humu nchini. Raila alijitolea kupigania uhuru, haki na demokrasia. Ebu tuangalie jinsi maisha yake ya awali yalivyokuwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive