Skip to main content
Skip to main content

Maelfu ya waombolezaji wajitokeza kuupokea mwili wa Raila Odinga

  • | KBC Video
    875 views
    Duration: 6:23
    Wakati wa mapambazuko jijini Nairobi’ kimya chenye mshindo kiligubika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta. Ndege iliyoubeba mwili wa hayati aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga ilitua kwenye uwanja huo mwendo wa saa tatu unusu asubuhi. Mwii wake ulisafirishwa kwa ndege nambari KQ 203, iliyopewa jina RAO 001 ilipongia kwenye anga ya nchi hii. Nje ya eneo la kirais maelfu ya waombolezaji walikusanyika wakiimba na kuomboleza kumuaga shujaa huyo anayechukuliwa kuwa mwanzilishi wa demokrasia nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive