- 649 viewsDuration: 2:49Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kimemteua seneta wa Siaya Oburu Odinga kuwa kaimu kiongozi wa chama hicho kufuatia kifo cha Raila Amolo Odinga. Katika taarifa iliyosomwa na naibu kiongozi wa chama hicho ambaye pia ni gavana wa Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir baada ya kikao cha dharura cha kamati kuu ya kitaifa jijini Nairobi, baraza hilo lilisema Oburu ataongoza chama kwa muda hadi kitakapokutana kumchagua kiongozi mpya. Mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim ana maelezo zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive