Skip to main content
Skip to main content

Wasanii wa Kisii watengeneza kumbukumbu ya kipekee ya Raila

  • | KBC Video
    436 views
    Duration: 5:16
    Wasanii kadhaa katika kaunti ya Kisii walikuwa wamechonga sanamu ya kipekee ya jiwe kama heshima kwa hayati Raila Odinga. Sanamu hiyo inabainisha hadithi ya maisha yake na walinuia kumkabidhi kabla ya habari kuhusu kifo chake. Tunaangazia sanamu hii iliyochongewa Kisii, ambayo hayati Raila hatawahi iona lakini ambayo wasanii hao wananuia kuikabidhi wa familia yake.. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive