Shughuli katika eneo la katikati ya jiji la Nairobi zilisimama baada ya habari kuenea kuwa mwili wa Raila Odinga umewasili nchini kutoka India. Maduka yaliyokuwa yamefunguliwa asubuhi yalifungwa haraka. Kulingana na wenyeji, jiji na Kenya kwa jumla wanaomboleza, hali iliyowalazimu kufunga biashara zao ili kuungana na waombolezaji wengine kumuenzi kiongozi huyo wa taifa aliyeaga dunia.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive