Uhuru Kenyatta: Tulimjua kwa majina tofauti, lakini kama Wakenya kutoka kona zote tulimjua na kumheshimu kama baba. Tulimuita ‘Baba’ kwa sababu Raila alipenda Kenya kuliko kitu kingine chochote. Alikuwa baba wa wote, hakuwa na ukabila na alipenda wananchi wote. #RIPRailaOdinga
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive