- 28,122 viewsDuration: 2:21Wabunge, maafisa wakuu serikalini na wahemimiwa wengine walipata fursa ya kuutazama mwili wa marehemu Raila Odinga bungeni.Rais William Ruto akiwa ameandamana na mama wa taifa Rachel Ruto aliwaongoza viongozi wa kisiasa na kijeshi katika kutoa heshima zao za mwisho kwa mtu aliyehudumu bungeni kwa miongo miwili.Gichuki Wachira na ripoti kuhusu hafla hiyo ya uzuni iliyomalizika kwa ibada ya wafu katika uwabja wa kitaifa wa Nyayo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive