Mkewe aliyekuwa waziri mkuu hayati Raila Odinga Ida Odinga, ametoa wito kwa wakenya kumwomboleza kiongozi huyo kwa amani. Ida, aliyeungana na familia nyingine kumuenzi hayati Odinga, alisema hadi kufikia kifo chake, Odinga alisisitiza haja ya Wakenya kudumisha amani. Binti yake Winnie Odinga, kwa upande wake aliwasimulia wakenya kwa kifupi, nyakati za mwisho akiwa na baba yake nchini India.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive