Skip to main content
Skip to main content

Ida Odinga awasihi Wakenya kuzingatia amani, utulivu na heshima wakati wa maombolezi

  • | KBC Video
    1,089 views
    Duration: 3:15
    Mjane wa aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga, Ida Odinga, amewaomba wakenya kuzingatia amani na utulivu wakati wa kipindi hiki cha maombolezo kabla ya mazishi hapo kesho. Akizungumza na wanahabari nyumbani kwake kwenye shamba la Opoda kaunti ya Siaya, Ida Odinga alitoa wito kwa waombolezaji kuzingatia heshima, akikariri haja ya hafla ya amani na yenye heshima. Amepongeza upendo ulioonyeshwa na wakenya, jamii, wanachama wa ODM na watu wengi kote ulimwenguni. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive