Wasanii wa muziki wametumia talanta zao kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa waziri mkuu marehemu Raila Odinga, kabla ya mazishi yake hapo kesho. Humu nchini na hata nje ya Kenya, wasanii wamemkumbuka kwa mchango wake mkubwa kwenye ulingo wa siasa, na kutoa heshima kwa matendo yake ambayo ni ya kuigwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive