Serikali inapanua kufungua ofisi ya utoaji pasipoti katika mji wa Malindi mwaka ujao ili kurahisisha upatikanaji wa hati hiyo kwa wakazi wa Pwani Kaskazini.
Haya yalifichuliwa na Naibu Kamishna wa Kaunti wa Malindi, David Lusava, ambaye amesema kuwa uamuzi huo unalenga kuboresha huduma hiyo hasa kwa vijana wanaotafuta ajira nje ya nchi na ambao hulazimika kusafiri hadi mjini Mombasa kupata pasipoti.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive