Skip to main content
Skip to main content

Askofu Mkuu mstaafu Philip Sulumeti afariki akiwa na miaka 86 katika Hospitai ya Nairobi

  • | TV 47
    1,273 views
    Duration: 1:38
    Askofu Mkuu mstaafu Philip Sulumeti ameaga dunia. Sulumeti amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Nairobi. Ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 86. Sulumeti aliongoza Kanisa Katoliki Magharibi ya Kenya kwa miongo minne. Anakumbukwa kwa mchango wake katika Katiba ya 2010 kupitia KCCB. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __