Wakazi wa Mai Mahiu huko Naivasha, kaunti ya Nakuru wameachwa na majonzi kufuatia kisa cha kusikitisha ambapo baba mmoja anadaiwa kuwaua wanawe wawili kwa kuwapa sumu kabla ya kujitoa uhai.Wakati uo huo katika kaunti ya Machakos,mwanamke mmoja ameuawa kwa panga na mpenzi we alipokuwa akiabiri pikipiki kisa ambapo wakazi waliojawa na ghadhabu walimuua mwanaumme huyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
 
#kbcchannel1 #news  #kbclive