- 106 viewsDuration: 2:33Shirika la kawi mashinani na kawi endelevu limechangisha shilingi milioni nne kwa lengo la kupanua uunganishaji umeme katika maeneo ya mbali. Afisa mkuu mtendaji wa shirika hilo, Rose Mkalama amesema serikali 22 za kaunti tayari zimeorodheshwa kwa mpango huo huku mipango ya kujumuisha zile zilizosalia ikiendelea. Taarifa hii kwa kina na nyingenezo ni kwenye Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive