Seneta Aaron Cheruiyot: Mheshimiwa rais, singependa kukudanganya. Ripoti ya ground inaonyesha huyo contractor anayejenga barabara pale Kiambereria Chepsir, ni abunuwasi. Tangu 2024 tulipozindua hiyo barabara, amesonga kilomita 6 pekee na hata mahali anajenga imeanza kubomoka. Rais nguruma leo huyu contractor apone au aondoke.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
 
#kbcchannel1 #news  #kbclive