- 172 viewsDuration: 2:46Tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi (EACC) na halmashauri ya kutathmini utenda kazi wa polisi (IPOA) zimetangaza mipango ya kuimarisha ushirikiano kwenye vita dhidi ya ufisadi hasa wakati wa kuwasajili makurutu wa polisi. Akiongea na wanahabari baada ya mkutano wa ngazi za juu kati ya taasisi hizo mbili , mwenyekiti wa tume ya EACC alisema mashauriano baina yao yalikuwa ya kufana na ni hatua muhimu ya kuimarisha uwazi na uwajibikaji katika udumishaji sheria. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive