Skip to main content
Skip to main content

Familia Kakamega yataka haki itendeke baada ya mwili wa binti yao aliyetoka kupatikana shimoni

  • | KBC Video
    394 views
    Duration: 2:50
    Familia moja huko Kakamega ina wasiwasi kufuatia kupatikana kwa mwili wa binti yao mwenye umri wa miaka 21 uliopatikana umelazwa kwenye shimo. Familia yake ambayo imekuwa ikimtafuta tangu siku ya Ijumaa alipotoweka, inadai kuna njama, huku ikitoa wito wa uchunguzi wa haraka kuhusiana na kifo chake. Haya yanajiri huku kukiwa na wasiwasi kuhusiana na hatua ya mmiliki mmoja wa nyumba kushindwa kuziba shimo ambalo mwili wake ulipatikana. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive