Familia moja katika kijiji cha Gathigiriri eneo la Mwea, kaunti ya Kirinyaga, inaomba usaidizi wa kifedha kuokoa maisha ya mtoto wao mwenye umri wa miaka mitano Brayden Mwangi, ambaye anakabiliwa na maradhi mawili sugu ambayo ni matatizo ya moyo na figo. Wazazi hao wamesema wanahitaji shilingi Milioni mbili ili kumpeleka mwanao kwa matibabu kwa dharura nchini India.
Familia moja Mwea yaomba usaidizi wa shilingi Milioni-2 ili mwanao anayeugua moyo na figo atibiwe India.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
 
#kbcchannel1 #news  #kbclive