Mzozo unaendelea kuongezeka kuhusu yaliyomo katika Mswada kuhusu Mashirika ya Kidini wa mwaka 2024, huku baadhi ya viongozi wa kidini wakiitaja sheria hiyo inayopendekezwa kuwa ya kuadhibu. Viongozi hao wanaonya kwamba mswada huo ni tishio kwa uhuru wa kuabudu wa kikatiba wa Kenya, wakitaka uondolewe.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
 
#kbcchannel1 #news  #kbclive