Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China: Michezo ya Majini

  • | KBC Video
    32 views
    Duration: 2:57
    Michezo ya majini imezidi kupata umaarufu nchini China, huku watu wengi wakikimbilia shughuli kama vile kupiga makasia na kuendesha jahazi ili kujiburudisha na kupunguza joto kali la majira ya kiangazi, wakigeuza bahari na maziwa kuwa vituo vya burudani. Zakia Pang na taslifu kamili Kwenye Makala ya ifahamu china kutoka Beijing Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive