- 68 viewsDuration: 1:48Viongozi na wazee wa jamii kutoka kaunti ya Isiolo wanadai haki kufuatia madai ya mauaji ya vijana watano na maafisa wa usalama katika eneo la Kom. Inadaiwa vijana hao walikuwa wakifuatilia mifugo iliyoibwa wakati walipopigwa risasi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive