- 33,499 viewsDuration: 28:10Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Mwigulu Nchemba, kuwa Waziri Mkuu wa taifa hilo kufutia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Mwigulu ni mchumi, kada wa muda mrefu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akimrithi Kassim Majaliwa anayemaliza muda wake. Mwanasiasa huyo wa muda mrefu, alikuwa Waziri wa Fedha katika serikali ya awali. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw