Junet Mohamed: Nimeona kwenye mitandao wakisema, ‘Sasa huyu ni yatima wa kisiasa, huyu amekwisha.’ Lakini nikiangalia hapa, naona kuna orphans wengi sana. Sasa, nitawakusanya wote niwe chairman wao...Wale waliotengeneza siasa yao kwa kumtusi Baba wamekwisha. #RIPRailaOdinga
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive