Skip to main content
Skip to main content

Rais Samia Suluhu aapishwa chini ya ulinzi mkali

  • | Citizen TV
    30,307 views
    Duration: 3:12
    Dkt Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo chini ya ulinzi mkali katika kambi ya kijeshi jijini dodoma, akianza rasmi muhula wake wa pili wa urais. Rais samia alisema serikali yake itawaaandama waliopanga na kufadhili maandamano yaliyoshuhudiwa wakati na baada ya uchaguzi mkuu. Rais William Ruto alikuwa miongoni mwa viongozi waliompongeza rais samia kwa ushindi wake.