Skip to main content
Skip to main content

Kamati kuu ya ODM kukutana Jumatatu kujadilia hali ya baadaye ya chama

  • | KBC Video
    3,194 views
    Duration: 3:07
    Kamati kuu ya usimamizi ya chama cha ODM inatarajiwa kufanya kikao mnamo Jumatatu ili kutathmini mustakabali wa chama hicho huku mivutano ikiendelea kufuatia kufariki kwa aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga. Baada ya kumteua hapo awali seneta wa kaunti ya Siaya Oburu Odinga kuwa kiongozi wa muda wa chama hicho, kamati hiyo pia itaangazia ufanisi wa hoja kumi ilizotia saini na chama cha UDA. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive