Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya bunge yazuru miradi ya nyumba za gharama nafuu jijini Nairobi

  • | KBC Video
    159 views
    Duration: 2:52
    Kamati ya bunge la kitaifa kuhusu ujenzi na ustawi wa miji sasa inataka wakandarasi wanaotekeleza miradi ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu kuongeza nguvukazi ili kuharakisha ukamilisho. kamati hiyo iliyoandaa ziara ya ukaguzi wa maeneo kadhaa ambako ujenzi huo unaendelea jijini Nairobi iligundua kwamba wakandarasi wamepunguza idadi ya wafanyakazi licha ya kupokea malipo kwa wakati ufaao kutoka kwa serikali. Wabunge hata hivyo, walibaini kuwa mradi wa ujenzi wa nyumba hizo unaenda sambamba na muda uliowekwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News