Skip to main content
Skip to main content

Kapu la Biashara | Kenya yashirikiana na Israeli kukomesha uhalifu mtandaoni

  • | KBC Video
    199 views
    Duration: 3:15
    Kenya na Israeli zimeshirikiana kukabiliana na vitisho ibuka vya uhalifu wa mtandani. Mataifa hayo mawili yatashirikiana katika utafiti na tahadhari za mapema ili kuepusha vitisho vya mtandaoni. Waziri wa habari, mawasiliano na uchumi dijitali William Kabogo anasema ushirikiano huo utazingatia uhamishaji wa teknolojia ambapo wahandisi wa Kenya watashirikiana na wale wa Israeli kubuni na kutumia teknolojia ya ulinzi katika miradi ya kitaifa kama ule wa jiji la kiteknolojia la Konza. Taarifa hii kwa kina na nyingine ni kwenye kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive