Skip to main content
Skip to main content

Kiongozi wa upinzani Tanzania John Heche yuko huru baada ya kuzuiliwa kwa wiki 3

  • | BBC Swahili
    33,553 views
    Duration: 5:05
    Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania, John Heche, pamoja na viongozi wengine wa chama hicho wameachiwa kwa dhamana, hatua ambayo imethibitishwa rasmi na CHADEMA. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na chama hicho, Heche alikuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya alipokuwa chini ya ulinzi wa polisi, na leo polisi walimpeleka hospitalini kwa matibabu kabla ya kumuachia. #DiraYaDuniaTV