Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wakuu serikalini warai eneo la Mlima Kenya kuunga mkono serikali ya Rais Ruto

  • | KBC Video
    548 views
    Duration: 2:16
    Maafisa wakuu wa serikali wameongeza juhudi za kuwarai wakazi wa eneo la Mlima Kenya, kuiunga mkono serikali ya Rais William Ruto, wakiwarai kuunga mkono miradi ya maendeleo inayotekelezwa. Haya yanajiri licha ya lalama zinazoongezeka kuhusu gharama ya juu ya maisha. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive