Skip to main content
Skip to main content

Magatuzini I Wahadhiri wa vyuo vikuu wataka serikali kutoa bilioni Shs7.9 za mkataba wa makubalino

  • | KBC Video
    157 views
    Duration: 5:06
    Wahadhiri wa vyuo vikuu wametoa lalama zao kuhusu kucheleweshwa kwa mishahara yao, wakiitaka serikali kutoa shilingi bilioni 7.9 kwa mujibu wa mkataba wa makubalino wa mwaka wa 2017-2021, na pia kuanza mazungumzo kuhusu mkataba mpya wa mwaka wa 2025-2029. Wahadhiri hao kupitia chama chao cha UASU, wamesema kucheleweshwa huko kumekwamisha shughuli katika vyuo vikuu vya umma, na sasa wanatishia kusitisha huduma zao iwapo pesa hizo hazitatolewa mara moja. Huu hapa mseto wa taarifa kutoka kaunti mbalimali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive