Skip to main content
Skip to main content

Maji ya Bahari Hindi yametia chumvi vianzo vya maji vya zaidi ya wakazi 15,000 wa Tana Delta

  • | KBC Video
    77 views
    Duration: 1:31
    Wakazi zaidi ya 15,000 wa eneo la Tana Delta wanakabiliwa na mzozo wa kibinadamu baada ya maji kutoka Bahari ya Hindi kutia chumvi maji yao ya kutumia. Ongezeko la kiwango cha maji katika Bahari Hindi limeharibu vianzo vya maji, hali ambayo imeathiri shughuli za kilimo na uvuvi na kuziacha jamii zikitafuta maji safi ya kutumia nyumbani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive