- 4,380 viewsDuration: 4:24Mjadala kuhusu mustakabali wa chama cha ODM unazidi kutokota, huku wanachama wake wakizidi kutofautiana. Mbunge wa Alego Usonga Sam Atandi ndiye kiongozi wa hivi punde kujiunga na mjadala huo akidai chama hicho bado hakiko tayari kumtoa mwaniaji urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 na badala yake kitamuunga mkono rais William Ruto kuchaguliwa kwa awamu ya pili. Wakati uo huo, uongozi wa kamati ya uhusiano wa vyama vya kisiasa unakabiliwa na ukosoaji mkubwa kwa madai ya kutepetea huku kukiwa na utata wa kutosajiliwa kwa takriban vyama 300 na msajili wa vyama ya kisiasa. John Jacob Kioria ana taarifa kamili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive