Mgomo wa madaktari katika kaunti ya Kiambu umeingia siku ya 107, ukilemaza huduma za afya na kuwaacha wagonjwa wakitafuta matibabu katika hospitali za kibinafsi. Chama cha madaktari na wataalam wa meno pamoja na kundi la kijamii la Bunge Mashinani, tawi la Kiambaa sasa wanalaumu uongozi wa kaunti hiyo kwa kupuuza mzozo huo na kukosa kushauriana na madaktari hao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive