Skip to main content
Skip to main content

Mitihani ya KPSEA na KJSEA kuanza rasmi kesho

  • | KBC Video
    227 views
    Duration: 3:52
    Zaidi ya watahiniwa Milioni 2.4 watafanya mtihani wa gredi ya sita KPSEA na ule wa gredi ya tisa KJSEA unaotarajiwa kuanza rasmi kesho Jumatatu na kuashiria kuanza kwa kipindi muhimu kwa mamilioni ya watahiniwa hao kote nchini. Kulingana na kalenda ya mtihani iliyotolewa na baraza la mitihani nchini KNEC, tathmini hiyo ya siku tatu itaanza siku ya Jumatatu hadi Jumatano kwenye vituo vyote vya mitihani vilivyosajili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive