- 598 viewsDuration: 1:36Mzozo wa uongozi katika kanisa la Methodist la Changamwe katika kaunti ya Mombasa ulikithiri leo baada ya waumini kuzuiwa kuingia kanisani. Waumini waliofika kwa ibada ya kanisani walilazimika kurejea nyumbani baada ya kupata kanisa hilo likiwa limefungwa na wakazuiwa kuingia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive