Mwanafunzi wa chuo kikuu amefikishwa katika mahakama ya Milimani jijini Nairobi na kushtakiwa kwa makosa ya kimtandao na wizi wa utambulisho. Mwanafunzi huyo kutoka chuo kikuu cha Meru mwenye umri wa miaka 22, anadaiwa kuchapisha karatasi ghushi za mitihani ya baraza la kitaifa la mitihani humu nchini KNEC kwenye mitandao, na kupatikana na vitambulisho vya kitaifa vya watu wengine.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
 
#kbcchannel1 #news  #kbclive