Skip to main content
Skip to main content

Mwanafunzi wa mwaka wa tatu akamatwa kwa tuhuma za mauaji Kikuyu

  • | TV 47
    759 views
    Duration: 2:13
    Mwanafunzi wa mwaka wa tatu akamatwa kwa tuhuma za mauaji Kikuyu. Mzozo kuhusu matumizi ya choo wapelekea kifo cha mwanafunzi. Brian Wambui afariki dunia baada ya kudungwa kisu na mwenzake. Polisi wa Kikuyu waanzisha uchunguzi wa mauaji ya mwanafunzi. Mwili wa marehemu umehifadhiwa Thogoto Mission Hospital ukisubiri uchunguzi. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __