Wataalamu wa afya katika eneo la Gatundu Kusini, Kaunti ya Kiambu wamehofishwa na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza kama vile kisukari, shinikizo la damu na saratani. Wakati wa kambi ya matibabu bila malipo iliyoandaliwa na Chuo Kikuu cha Mama Ngina na washirika wa afya, madaktari walifichua kuwa wakazi wengi wanapambana kimyakimya na magonjwa sugu kutokana na huduma duni za afya na gharama kubwa ya matibabu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive