- 1,025 viewsDuration: 1:12Raia sita wa Iran waliokamatwa mwishoni mwa juma lililopita katika Bahari Hindi wakiwa na dawa za kulevya zenye thamani ya shilingi bilioni 8.2 na kufikishwa mahakamani siku ya Jumatatu, watazuiliwa kwa siku 30 zijazo. Siku ya Jumatatu, upande wa mashtaka ulikuwa umeomba siku 30 kuwazuilia washukiwa huku uchunguzi ukiendelea. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive